TANGAZO


Wednesday, January 22, 2014

Mkataba wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki baina ya Kampuni ya Intergen Consulting Group na Bohari Kuu ya Madawa ya Serikali (MSD), wasainiwa

Makamu wa Rais wa Kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong Choi akitia saini mkataba wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki baina ya Kampuni yake na Bohari Kuu ya Madawa ya Serikali (MSD). Kulia kwake ni Katibu Mkuu Utumishi  Bw. George D. Yambesi (katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa ya Serikali Bw. Cosmas Mwaifwani.
Katibu Mkuu  Utumishi  Bw. George D. Yambesi (katikati) akitia saini mkataba wa kutengeneza Mfumo wa Usajili wa Vizazi. Kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA) Bw. Phillip G. Saliboko akitia saini mkataba huo.
Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi (kushoto) akimkabidhi mkataba kwa  Makamu wa Rais wa kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong Choi wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki utakaotumiwa na Bohari Kuu ya Madawa (MSD) mara baada ya kusaini mkataba huo. (Picha zote na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment