TANGAZO


Monday, January 13, 2014

Mchezo wa Fainali wa Kombe la Mapinduzi, KCC yaipiga Simba 1-0, Kombe laenda Uganda

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya KCC ya Uganda,  Kawoya Fahad, mara baada ya timu hyo, kuifunga Simba ya Dar es Salaam bao 1-0 katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi, uliochezwa Uwanja leo, Uwanja wa Amaan, Mjni Zanzibar ikiwa sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Nahodha wa timu ya Simba, Ivo Mapunda akikabidhiwa kombe la ushindi wa pili na Waziri wa Habari na Michezo wa Zanzibar baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano hayo. (Picha zote na ZanziNews blog)



Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi leo, Uwanja wa Amani, mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wachezaji wa KCC ya Uganda katika mchezo huo wa fainali leo.
Kikosi cha timu ya KCC ya Uganda kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya Simba ya Tanzania leo, Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Kikosi cha Simba, kikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi leo, Uwanja wa Aman, mjini Zanzibar.
 









Benchi la ufundi la Simba likiwa limeduwazwa na bao lililofungwa na KCC katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.



Wachezaji wa Simba wakipambana na wa KCC ya Uganda katika mchezo huo wa fainali.






Kikosi cha timu ya KCC ya Uganda wakiwa pamoja na Kombe lao la ubingwa wa Mapinduzi Cup mara baad ya Kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment