TANGAZO


Wednesday, January 15, 2014

Rais Kikwete awajulia hali Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, Waziri Harouna Ali Suleiman wa SMZ

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana (Jumapili), jijini Dar es Salaam (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar (SMZ), Bwana Haroun Ali Suleiman, aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, jana Jumapili.

No comments:

Post a Comment