TANGAZO

Saturday, January 18, 2014

Kifimbo cha Malkia chawasili na kutembezwa jijini Dar es Salaam leo

Kifimbo cha Malkia wa Uingereza kikiwasili katika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika, Dar es Salaam leo, mara kilipowasili nchini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.BlogSpot.com)

Wanamichezo Filbert Bayi (kushoto) wa Tanzania, Kipchoge Keino wa Kenya, wakiwa wameshikilia kifimbo cha Malkia wakikitembeza kwa gari kwenye Viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Dar es Salaam kilipowasili shuleni hapo leo.

Wapiga ngoma kutoka Afrika Kusini, Jonathan Visse (kushoto) na Nick Sahmidt, wakiwaongoza wageni na wanafunzi katika kukitembeza kifimbo hicho, kwenye Viwanja vya shule hiyo leo.

Wanamichezo Filbert Bayi (kushoto) wa Tanzania, Kipchoge Keino wa Kenya, wakiwa wameshikilia kifimbo cha Malkia wakikitembeza kwa miguu baada ya kuzunguka nacho wakiwa kwenye gari, katika Viwanja vya Shule hiyo ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Dar es Salaam kilipowasili shuleni hapo leo.
Wanafunzi wa shule hiyo, wakikishangaa kifimbo cha Malikia, wengine wakikigusa.
Wanamichezo Filbert Bayi (kushoto) wa Tanzania, Kipchoge Keino wa Kenya, wakiwa wameshikilia kifimbo cha Malkia pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Corner, wakati kifimbo hicho kilipowasili kwenye Viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Dar es Salaam leo.

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Corner akizungumza wakati wa hafla hiyo shuleni hapo leo.

Kifimbo kikiwekwa katika sehemu yake.

No comments:

Post a Comment