TANGAZO


Saturday, December 14, 2013

Yanga yaipiga KMKM ya Zanzibar mabao 3-2, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Jeryson Tegete wa Yanga, akimtoka Kassim Abdulkadir wa KMKM wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 3-2. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
 
 
 
 
Jeryson Tegete na Didier Kavumbagu, wote wa Yanga, wakishangilia bao la kwanza la timu yao wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Yanga ilishinda mabao 3-2.
 
 
 
 
Kassim Abdulkadir wa KMKM, akizuia mpira huku akiangaliwa na David Luhende wa Yanga, wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 3-2.

No comments:

Post a Comment