TANGAZO


Saturday, December 14, 2013

Watu 6 wafariki dunia baada ya kuangukiwa na ngema wakichimba kifusi mkoani Kilimanjaro

Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia.
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu

hao.
Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini.
 Sehemu ya eneo la tukio.
Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
 Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea.
Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.

Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
 Huduma ya kwanza kwa majeruhi.
Kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa  saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.
Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na ngema ili zoezi la uopoaji miiili  uendelee kwa urahisi.
 Zoezi likiendelea.

 Zoezi likiendelea.
 Moja ya miili iliyofukiwa.
 Greda likiendelea na juhudi za uokoaji.
Miili ya  marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika. (Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog)

No comments:

Post a Comment