Ofisa Mkuu wa UNESCO Dar es Salaam, Bw. Abdoul Wahab
Coulibaly akitoa hotuba kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa
semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi
wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ndugu
Selestine Gesimba akitoa Hotuba ya ufunguzi katika Semina ya siku mbili inayohusu Mkakati
wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu
Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa masuala ya Utamaduni na Maendeleo kutoka shirika
la UNESCO akitoa mada iloyohusu Utamaduni na Maendeleo katika Urithi wa Dunia
wakati wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO
kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es
Salaam.
Washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa
Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi. (Picha zote na WHVUM)
No comments:
Post a Comment