Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo , akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati chama hicho, kilipokuwa kikitangaza mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 16 wa Ukanda wa Afrika Mashariki, yatakayofanyika nchini kuanzia Januari 11 hadi 18, mwakani, Viwanja vya Gymkhana jijini. Kulia waliokaa ni Makamu wa Rais wa chama hicho, Fina Mango na kushoto ni Kocha wa Taifa wa Vijana chini ya umri wa miaka 18 wa mchezo huo, Kelvin Kipingu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo , akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati chama hicho, kilipokuwa kikitangaza mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 16 wa Ukanda wa Afrika Mashariki, yatakayofanyika nchini, kuanzia Januari 11 hadi 18, mwakani, Viwanja vya Gymkhana jijini. Kulia waliokaa ni Makamu wa Rais wa chama hicho, Fina Mango na kushoto ni Kocha wa Taifa wa Vijana chini ya umri wa miaka 18 wa mchezo huo, Kelvin Kipingu.
Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Methusela Mbajo (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati chama hicho, kilipokuwa kikitangaza mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 16 wa Ukanda wa Afrika Mashariki, yatakayofanyika nchini kuanzia Januari 11 hadi 18, mwakani, Viwanja vya Gymkhana jijini. Kulia waliokaa ni Makamu wa Rais wa chama hicho, Fina Mango na kushoto ni Kocha wa Taifa wa Vijana chini ya umri wa miaka 18 wa mchezo huo, Kelvin Kipingu.
Kocha wa Taifa wa Vijana chini ya umri wa miaka 18 wa mchezo huo, Kelvin Kipingu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati uongozi wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), ulipokuwa ukitangaza kuhusu mashindano ya mchezo huo kwa vijana chini ya umri wa miaka 16 ya nchi za Afrika Mashariki yatakayofanyika nchini mwezi Januari 11 hadi 18, mwakani. Katikati waliokaa ni Rais wa Chama cha Tennis Tanzania, Methusela Mbajo na kulia ni Makamu wake, Fina Mango.

Makamu wa Rais wa Chama cha Tennis Tanzania (TTA), Fina Mango, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati chama hicho, kilipokuwa kikitangaza mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 16 wa Ukanda wa Afrika Mashariki, yatakayofanyika nchini kuanzia Januari 11 hadi 18, mwakani, Viwanja vya Gymkhana jijini. Katikati waliokaa ni Rais wa chama hicho, Methusela Mbajo na kushoto ni Kocha wa Taifa wa Vijana chini ya umri wa miaka 18 wa mchezo huo, Kelvin Kipingu.

No comments:
Post a Comment