Mkuu wa Idara ya Elimu Masafa toka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Bw. Baraka Kionywala akiwaonesha waandishi wa habari (Hawapo pichani) kijitabu cha sera ya Elimu ya Watu Wazima,wakati wa Mkitano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO). Kushoto ni Kaimu naibu Mkurugenzi Taaluma, Tafiti na Ushauri toka Taasisi hiyo Dkt. Meena.
|
No comments:
Post a Comment