TANGAZO


Sunday, December 15, 2013

Simba yaifunga KMKM ya Zanzibar mabao 3-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Wchezaji wa Simba wakiingia uwanjani kuanza kipindi cha pili cha mchezo kati yake na KMKM ya Zanzibar, katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo.





Wachezaji Idd mgeni wa KMKM (kushoto) na Said Ndemla wa Simba, wakiwania mpira, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa kirafiki, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Simba ilishinda mbao 3-1.












No comments:

Post a Comment