TANGAZO


Friday, December 13, 2013

Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Makao Makuu ya chama hicho, Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Makao Makuu ya chama hicho, Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Waziri wa Kilimo, Chakula  na Ushirika, Christopher Chiza akibadilishana mawazo na Mbunge wa kuteuliwa, Asha-Rose Migiro, nje ya ukumbi wa NEC, mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo.
Waziri wa Kilimo, Chakula  na Ushirika, Christopher Chiza akibadilishana mawazo na Mbunge wa kuteuliwa, Asha-Rose Migiro, nje ya ukumbi wa NEC, mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo. (Picha na John Banda)


No comments:

Post a Comment