Baadhi ya viongozi wa vyama na Msajili, Jaji Francis Mutungi (kushoto), wakiwa katika hafla hiyo.
Mwanazuoni, Issa Shivji (kushoto), akiteta na Jaji mstaafu Mark Bomani, wakati wa hafla hiyo leo.
Baadhi ya wananchi, viongozi wa Vyama vya Siasa, Waandishi wa habari na wageni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Spika wa Bunge, Anne Makina akiwa na Jaji Mkuu, Othman Chande katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwasili Viwanja vya Karimjee katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi katika hafla hiyo.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Zanzibar, wakiwa katika hafla hiyo.
Mawaziri wa Katiba wa Zanzibar, Aboubakar na Tanzania, Mathias Chikawe (kulia) pamoja na Naibu wake, Anjela Kairuki wakiwa katika hafla hiyo.
IGP Said Mwema akiwa na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Rashid Othaman wakiwa katika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wake wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto), katika hafla hiyo.
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, akiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, wakiwa katika hafla hiyo.
Bendi ya Polisi ikitumbuiza katiak hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba mpya.
Rais Jakaya Kikwete akisalimaina na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein wakati alipowasili katika Viwanja vya Karimjee.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba, akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, rasimu ya mwisho ya Katiba mpya, Dar es Salaam leo baada ya kumaliza kazi ya kukusanya maoni ya wananchi.
Jaji Warioba akimkabidhi Rasimu ya Katiba, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.
Jaji Warioba akimkabidhi Rasimu ya Katiba, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd.
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd.
Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Rasimu ya Katiba Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (kulia), Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (katikati), baada ya kukabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Jaji Mkuu, Othman Chande.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimkabidhi Rasimu ya Katiba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.
Viongozi wastaafu na waasisi wa Tanzania, wakiwa wameshikilia rasimu hiyo, baada ya kukabidhiwa na Rais Jakaya Kikwete leo. Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Job Lusinde, Sir George Kahama, Hassan Nassor Moyo na Jaji mstaafu, Mark Bomani na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi, Mirisho Sarakikya.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jiji Joseph Warioba, jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wananchi na wanazuoni wakiwa katika hafla hiyo, ya kukabidhiwa Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein, rasimu ya mwisho ya katiba.
Rais Jakaya Kikwete, akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia wananchi, mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia wananchi, mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia wananchi, mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia wananchi, mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya jijini leo. Kushoto ni Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia wananchi, mara baada ya kukabidhiwa Rasimu ya mwisho ya Katiba Mpya jijini leo. Kushoto ni Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Waandishi wa habari, wakiwa kazini wakati wa hafla ya Tume ya Mabdiliko ya Katiba kukabidhi Rasimu ya mwisho ya Katiba mpya, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment