Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu
Hilary Mkate leo, Oktioba 4, 2013 Kinondoni, Dar es Salaam.
Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu
Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo,
Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment