TANGAZO


Monday, November 25, 2013

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal afungua mkutano wa majadiliano, Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema pamoja na baadhi ya Mawaziri, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa  Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye ukumbi huo, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi na wadau mbali mbali katika mkutano wa majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal kwa ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka kwenye ukumbi wa Julius Nyerere baada ya kuufungua rasmi Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wadau wakishiriki katika mkutano huo, wa majadiliano.
Baadhi ya wadau mbalimbali, wakioshiriki katika mkutano huo, wa majadiliano.

No comments:

Post a Comment