TANGAZO


Sunday, November 17, 2013

Mahafali ya 25 ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain yafana


Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha na kuwatambulisha wageni mbalimbali wakati wa mahafali ya 25 ya shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Sheikh Twaha Suleiman Bane, Mwalim Rashid Kassim (Mtaaluma wa Shule) na Mwakilishi wa Bakwata, Khamis Jongo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wahitimu wa kiume wakiwa katika mahafali yao hayo, shuleni hapo jana. 
Wanafuzni wa kidato cha tatu, kutoka kushoto Nuru Ochieng, Aisha Kamuna (katikati) na Sabrina Ibrahim, wakisoma utenzi wa kuwaaga wenzao wa kidato cha nne waliomaliza mitiahani yao hivi karibuni.
Mhitimu Sharif Mgweno, aklisoma risala ya wahitimu wakati wa mahafali yao hayo. Anayemsaidia ni mhitimu mwenzake Abdulahi Ally.
Baadhi ya viongozi pamoja na walimu wakiwa meza kuu wakati wa mahafali hayo.
Vijana, wanafunzi mchanganyiko, wakiwa katika igizo maalum la kuwaaga wanafunzi wenzao wa kidato cha nne, shuleni hapo jana.
Vijana, wanafunzi mchanganyiko, wakiwa katika igizo hilo, maalum la kuwaaga wanafunzi wenzao wa kidato cha nne, shuleni hapo jana.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan 9kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa shule hiyo, ya Al Haramain, Nuhu Jabir (kushoto), wakati wa mahafali hayo, Dar es Salaam jana.
Vijana, wanafunzi mchanganyiko, wakiendelea katika igizo hilo, maalum la kuwaaga wanafunzi wenzao wa kidato cha nne, shuleni hapo jana.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mama Khan, akiwa na walimu Pili Mwale (katikati) na Zuwena Msuya, kwenye meza kuu.
Baadhi ya wazazi na wageni mbalimbali wakiwa na watoto wao kwenye mahafali hayo.
Baadhi ya wazazi na wageni mbalimbali wakiwa na watoto wao kwenye mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa kike wa kidato cha nne, wakiwa katika mahafali yao hayo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir, akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mama Khan (kushoto kwake). wengine ni walimu Pili Mwale (wa pili kulia) na Zuwena Msuya.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir, akizungumza wakati alipokuwa akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mama Shamim Khan (kulia), shuleni hapo jana.
Baadhi ya walimu wa shule hiyo, wakiwa pamoja na wazazi wa wanafunzi waliokuwa wanahitimu pamoja na wageni mbalimbali.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan, akitoa hotuba yake..
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan, akitoa hotuba yake. Wa pili kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Nuhu Jabir.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan, 
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan, akimkabidhi cheti mhitimu Sabrina Suleiman baada ya kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Kiislamu, Sayansi na Hisabati.
Nuru Utunge, akikabidhiwa cheti kutokana na kuongoza masuala ya uongozi na usafi shuleni hapo.
Abdulazizi Raha, akiabidhiwa cheti kutokana na kuwa bora kwa masomo ya Uraia.
Khadija Said, akikabidhiwa cheti kutokana na kuwa mwanafunzi bora kwa masomo ya Uraia, Historia, Kiingereza na Kiswahili
Zaitun Ntandu akikabidhiwa cheti baada ya kuwa mwanafunzi bora kwa masomo ya Historia.

Zuhura Waziri, akikabidhiwa cheti na mgeni rasmi kwa kuwa bora kwa masomo ya Biashara na Kiislamu.
Jamila Champunga-Kiswahili, Biashara-zawadi maalum-67
Khadija Said, akikabidhiwa cheti chake kwa kuwa mwanafunzi bora kwa masomo ya Uraia, Historia, Kiingereza na Kiswahili.
Frida Riziki, akipewa cheti kutokana na kuongoza katika somo la Kiingereza.
Mohamed Abdallah, akikabidhiwa cheti kwa kuwa mwanafunzi bora kwa somo la Kiarabu.

Zaitun Zubeir, akikabidhiwa cheti kwa kuwa mwanafunzi bora kwa somo la Biologia.

Abdillahi Omar, akikabidhiwa cheti kwa kuwa mwanafunzi bora kwa somo la Biashara.
Jamila Champunga, akipewa cheti kwa kuwa bora katika masomo ya Kiswahili na Biashara.




Abdulazizi Raha akikabidhiwa zawadi ya kuwa mwanafunzi bora kwa masomo ya Uraia.
Khadija Said, akikabidhiwa zawadi maalumu kutokana na kuwa mwanafunzi bora kwa masomo ya Uraia, Historia, Kiingereza na Kiswahili.
Jamila Champunga, akipewa zawadi maalumu kwa kuwa bora katika masomo ya Kiswahili na Biashara.
Mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sondari ya Al Haramain, akikabidhiwa cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne katika shule hiyo jana,masomo hayo, Dar es Salaam jana.






Juu na chini wahitimu mbalimbali wakikabidhiwa vyeti vyao na meni rasmi Mwenyeekiti w


























Juu na chini wanafunzi mbalimbali wakikabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu kidato cha nne shuleni hapo na mgeni rasmi katika mahafali Mama Shamim Khan.








Juu na chini wanafunzi mbalimbali wakikabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu kidato cha nne shuleni hapo na mgeni rasmi katika mahafali Mama Shamim Khan.


































Juu na chini wanafunzi mbalimbali wakikabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu kidato cha nne shuleni hapo na mgeni rasmi katika mahafali Mama Shamim Khan.









No comments:

Post a Comment