TANGAZO


Monday, November 25, 2013

KCB yawatunuku wajasirimali vyeti vya kuboresha biashara jijini Mwanza

Mjasiriamali kutoka Markaz Foundation, Salma Yahya (kulia), akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ujasiriamali cha Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul, baada ya kuhudhuria mafunzo ya namna ya kuboresha biashara yaliyofanyika jana katika Hoteli ya JB Belmont, jijini Mwanza.
Mjasiriamali kutoka Magila Pharmacy, Margareth Magila (kulia), akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ujasiriamali cha Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul,  baada ya kuhudhuria mafunzo ya namna ya kuboresha biashara yaliyofanyika jana katika Hoteli ya JB Belmont, jijini Mwanza.
Mjasiriamali kutoka Magila Pharmacy, Margareth Magila (kulia), akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ujasiriamali cha Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul,  baada ya kuhudhuria mafunzo ya namna ya kuboresha biashara yaliyofanyika jana katika Hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza.
Mjasiriamali Steven Waitara (kulia), akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ujasiriamali cha Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul,  baada ya kuhudhuria mafunzo ya namna ya kuboresha biashara yaliyofanyika jana katika Hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza.
Mjasiriamali Hellen Ngowi  akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ujasiriamali cha Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul, baada ya kuhudhuria mafunzo ya namna ya kuboresha biashara yaliyofanyika jana katika hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment