Erasto Nyoni wa Taifa Stars akimtoka Simon Msuva (kulia) wa Future Taifa Stars, wakati timu hizo zilipopambana, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo, katika mchezo wa kutafuta kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki mashindano ya Kombe la Chalenji yatakayoanza nchini Kenya mwishoni mwa mwezi huu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wachezaji wa Taifa Stars na Future Taifa Stars wakimenyana katika mchezo huo wa kirafiki.
Wachezaji wa Taifa Stars na Future Taifa Stars wakimenyana katika mchezo huo wa kirafiki.
Kelvin Yondani wa Taifa Stars akikimbilia mpira na Simon Msuva (kulia) wa Future Taifa Stars, wakati timu hizo zilipopambana, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo, katika mchezo wa kutafuta kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayoanza nchini Kenya mwishoni mwa mwezi huu.
Kelvin Yondani wa Taifa Stars, akiwania mpira na Simon Msuva (kulia) wa Future Taifa Stars, wakati timu hizo zilipopambana, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo, katika mchezo wa kutafuta kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayoanza nchini Kenya mwishoni mwa mwezi huu. Katika mchezo huo, Future Stars, ilishinda kwa bao 1-0.
Kelvin Yondani wa Taifa Stars, akijaribu kumnyang'anya mpira na Simon Msuva (kulia) wa Future Taifa Stars, wakati timu hizo, zilipopambana, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo, katika mchezo wa kutafuta kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayoanza nchini Kenya mwishoni mwa mwezi huu. Katika mchezo huo, Future Stars, ilishinda kwa bao 1-0.
No comments:
Post a Comment