TANGAZO


Sunday, November 17, 2013

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein azungumza na Wizara ya Katiba na Sheria

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za wizara hiyo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu)
Baadhi ya viongozi mbali mbali wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi  za Wizara hiyo, chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi  za Wizara hiyo, chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment