Pengo kati ya wanaume na wanawake limepungua kwa kiasi tu
katika kipindi cha mwaka mmoja. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya kongamano la
kimataifa la kiuchumi{World Economic Forum- WEF}.
Nchi za Ufilipino na Nicaragua ziko kwenye kumi bora.Kongamano la WEF limekuwa likitoa taarifa yake kwa miaka minane sasa. Ripoti hii inajiri wakati BBC imekuwa na mwezi mmoja ulioangazia masuala ya wanawake hususan nafasi yao katika jamii.
No comments:
Post a Comment