Bondia Twalibu Mchanjo (kushoto), akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika Gongolamboto, Mzambarauni, Dar es Salaam. Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
|
Bondia Emanuel Philomon (kushoto), akimtwanga makonde
bondia Gaspar Hinde, wakati wa mpambano wao, uliofanyika Gongo la Mboto Mzambarauni. Philomon alishinda kwa K.O ya raundi
ya nne.
|
Bondia Abdul Zugo (kushoto), akipambana na Hassani Manula, wakati wa mpambano wao, uliofanyika
Gongolamboto, Dar es Salaam. Mabondia hao, walitoka nguvu sawa.
No comments:
Post a Comment