TANGAZO


Tuesday, October 15, 2013

TFF yaikabidhi Kitanda cha kufanyia upasuaji Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano, Saad Kawemba, akikisukuma kitanda cha kufanyia upasuaji ambacho baadaye kilikabidhiwa kwa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kitanda cha kufanyia upasuaji kwa Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam leo, kilichotolewa na shirikisho hilo kwa ajili ya hospitali hiyo, ikiwa ni asilimia kumi ya mapato ya fedha zilizokusanywa katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam, uliochezwa mwaka jana, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wa pili ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Amaani Malima, Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga (wa tatu) na Matroni wa hospitali hiyo, Deodata Msoma.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kitanda cha kufanyia upasuaji kwa Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam leo, kilichotolewa na shirikisho hilo kwa ajili ya hospitali hiyo, ikiwa ni asilimia kumi ya mapato ya fedha zilizokusanywa katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam, uliochezwa mwaka jana, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano, Saada Kawemba na kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Amaani Malima. 

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah (kushoto) na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Malima, wakitia saini hati za makabidhiano ya kitanda cha kufanyia upasuaji, kilichotolewa na shirikisho hilo kwa ajili ya hospitali hiyo, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga.


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah (kushoto) akikabidhi hati za makabidhiano ya kitanda cha kufanyia upasuaji, kilichotolewa na shirikisho hilo kwa ajili ya Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo kwa Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Amaani Malima, mara baada ya kutiliana saini kwenye hati hizo. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga na Matroni wa hospitali hiyo, Deodata Msoma.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah akizungumza mara baada ya kukabidhi hati hizo kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Malima (wa pili), Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga na Matroni wa hospitali hiyo, Deodata Msoma.


Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Malima, akitoa shukurani baada ya kukabidhiwa hati za kitanda hicho kutoka kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah (kushoto), Dar es Salaam leo.


Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga, akizungumza katika hafla hiyo leo. 
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah (wa pili kushoto), akimkabidhi kitanda cha kufanyia upasuaji  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Malima, kilichotolewa na shirikisho hilo, kwa ajili ya hospitali hiyo, Dar es Salaam leo, ikiwa ni asilimia kumi ya mapato ya fedha zilizokusanywa katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam, uliochezwa mwaka jana, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano, Saad Kawemba, Matroni wa hospitali hiyo, Deodata Msoma (kulia) na Mwenyekiti wa bodi ya hospitali, James Syaga.

Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano, Saad Kawemba, akiwapa mkono Mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo, James Syaga na Matroni wa hospitali hiyo, Deodata Msoma, mara baada ya kukabidhiwa kitanda hicho na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Angetile Osiah (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo.


Kitanda cha kufanyia upasuaji kilichokabidhiwa leo na TFF kwa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment