Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani"
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa huku mumewe Vicent Mnyanyika akishuhudia pembeni.
MC PC Makame akiwaongoza maharusi katika tendo la keki ukumbini katika hafla kabambe iliyofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel Agosti 31, 2013.
Maharusi wakivionesha vyeti vya ndoa kwa mashuhuda mara baada ya kufunga ndoa.
Picha na wapambe wa maharusi.
Picha na wazazi wa maharusi
No comments:
Post a Comment