*Aitaka TBA kuingia ubia ujenzi wa nyumba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa moja kati ya Nyumba 851, baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na (kulia) ni Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Bunju B, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza machache na wananchi wa Bunju B, kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, kuwahutubia Wanancnhi hao, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga, wakati akikagua ramani za ujenzi wa Makazi ya Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitambulishwa kwa baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara na TBA, wakati alipowasili katika shighuli hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi na TBA.12:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Vijana wa Kikundi cha Uhamasishaji, waliokuwepo katika sherehe hiyo, mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Bunju B, wakati akiondoka eneo hilo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

Na Eliphace Marwa - Maelezo
MAKAMU wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilal ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania(TBA), kuangalia jinsi ya kutumia fursa amabayo Serikali imeruhusu taasisi za Serikali kuingia ubia na sekta binafsi (PPP) katika kufanikisha miradi ya ujunzi wa nyumba za watumishi wa umma.
Kauli hiyo, imetolewa leo na Makamu wa Rais wakati sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 851 za watumishi wa umma katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
“ Wakala mnatakiwa muangalie jinsi ya mtakavyoweza kutumia wabia wa ndani na wa nje katika kutekeleza mradi maalum wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa kipindi cha miaka mitano ambao unatazamiwa kutatua kero ya makazi ya watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla,” alisema Dkt. Bilal.
Makamu wa Rais aliongeza kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kazi bora inayofanywa na watumishi wake ndiyo maana inawaonesha kuwajali kwa kuwajengea nyumba bora .
Aidha aliupongeza wakala huo, kwa kuanzisha mradi huo wa kujenga nyumba hizo,ambapo gharama ya nchini inaanzia milioni 25 hadi kufikia milioni 50.
Naye Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akielezea changamoto mbalimbali ambazo wakala huo, unaakabiliana nazo kuwa ni gharama kubwa za uwekaji miundombinu ya maji safi na nishati.
Alizitaja changamoto nyingine ni kutozwa riba kubwa za mikopo zinazotolewa na benki za hapa nchini, pia baadhi ya halimashauri kutokuwa na viwanja vya kutosha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba.
“ Naomba Makamu wa Rais na ofisi yako inisaidie kuhakikisha wale wote ambao wanadaiwa mikopo ya nyumba wawe wamelipa ndani ya mwezi mmoja ikiwa watashindwa kulipa wanyang’anywe nyumba hizo na kuuziwa watu wengine ili kutoa fursa kwa wakala kujenga nyumba nyingine , ambapo hadi sasa watu 2500 bado hawajamaliza kulipa madeni yao,” alisema Waziri Magufuli.
Aidha wakala huo, utajenga nyumba nyingine 1400 katika mkoa wa Dares Salaam na nyumba 2500 katika mikoa 12 ya Tanzania Bara kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha wa 2013/2014 na kumalizia nyumba zilizo baki ndani ya miaka mitatu, ambapo Makamu wa Rais alitaka ujenzi huo usisimame ili kufikia lengo la nyumba 10,000 na zaidi.
No comments:
Post a Comment