TANGAZO


Wednesday, October 9, 2013

Makamu wa Rais azindua Nyota ya Kijani jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa kampeni ya nyota ya kijani kwa ajili ya uzazi wa mpango leo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi, na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na idadi ya watu duniani (UNFPA), Mariam Khan.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akipata maelezo katika banda la Tanzania Youth Alliance (TAYOA). Katikati ni Derick Mtavangu na kwa kwanza kushoto ni Elizabert Nkunda ambapo kampeni ya nyota ya kijani kwa ajili ya uzazi wa mpango ilizinduliwa leo jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akipata maelezo katika banda la Tanzania Youth Alliance (TAYOA). Katikati ni Derick Mtavangu na kwa kwanza kushoto ni Elizabert Nkunda ambapo kampeni ya nyota ya kijani kwa ajili ya uzazi wa mpango ilizinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho akisisitiza kuzinduliwa upya kampeni ya kitaifa ya uzazi wa mpango ijulikanayo kama “Nyota ya Kijani” ikiongozwa na kauli mbiu Fuata nyota ya kijani upate mafanikio leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal wakati wa kuzinduliwa upya kampeni ya kitaifa ya uzazi wa mpango ijulikanayo kama “Nyota ya Kijani” ikiongozwa na kauli mbiu Fuata nyota ya kijani upate mafanikio leo jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa shirika linalojihususha na uzazi wa mpango Valerie DeFillipo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya nyota ya kijani kwa ajili ya uzazi wa mpango ileo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal (kulia) akionesha zawadi aliyopewa yenye alama ya nyota ya kijani. Katikati ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi na kwa kwanza kushoto ni kampeni ya nyota ya kijani kwa ajili ya uzazi wa mpango ilizinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe.

No comments:

Post a Comment