TANGAZO


Thursday, October 24, 2013

Maadhimisho ya miaka 68 ya UN, jijini Dar es Salaam leo

Baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka viwanjani hapo leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kikosdi cha Jeshi la Magereza kikiwa katika gwaride la maadhimisho hayo, ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), viwanjani hapo leo.
Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Aberis Kacou, akisoma hotuba yake, wakati wa maadhimisho hayo leo.
Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Aberis Kacou, akisoma hotuba yake, wakati wa maadhimisho hayo leo.
Baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ambalimbali za mkoani Dar es Salaam, wakiwa katika maadhimisho hayo jijini leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akisoma hotuba yake kwenye maadhimisho hayo.
Baadhi ya wananchi pamoja na wageni mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, wakati alipokuwa akiisoma hotuba yake kwenye maadhimisho hayo jijini leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee, wakipiga muziki wa mapipa, wakati wa maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee, wakiimba wimbo wa kuusifia Umoja wa Mataifa, wakati wa maadhimisho ya miaka 68 ya umoja huo, Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akikata utepe huku akisaidiwa na Mwakilishi mkazi wa umoja huo nchini, Aberis Kacou, kuyazindua maonesho ya maadhimisho ya umoja huo, viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo na Ofisa Mwambata wa Shirika la umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Marjorie Mua alipofika kwenye banda hilo, mara baada ya kuyafungua maonesho hayo jijini leo. 
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo na Ofisa Mipango wa Shirika la Kimataifa la Wahamaji na Wahamiaji kwa Maendeleo (IOM), Mia Immelbach, wakati wa maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akioneshwa jambo na Ofisa Mipango wa Shirika la Kimataifa la Wahamaji na Wahamiaji kwa Maendeleo (IOM), Mia Immelbach, wakati wa maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam leo.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo na Mtaalamu wa Taifa wa Nishati na Mazingira (UNIDO), Emmanuel Michael alipofika kwenye banda la taasisi hiyo kwenye maonesho hayo leo.
Ofisa Mipango na Matukio wa Mpango wa Kujitathmini (APRM-MFAIC), Praxida Gasper, akimpatia maelezo Balozi wa Msumbiji nchini, Vicente Velado, kwenye maonesho hayo leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo kwenye banda la kuzuiya maambukizi ya Ukimwi.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akiweka saini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye maadhimisho hayo jijini leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo, alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye maadhimisho hayo jijini leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo na Ofisa Mipango na Matukio wa APRM-MFAIC, alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye maadhimisho hayo jijini leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akipatiwa maelezo na Mnasihi wa Angaza Zaidi, Peace Kayoza kutoka AMREF, alipotembelea banda hilo kwenye maadhimisho hayo jijini leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akifafanua jambo, mara baada ya kuyafungua maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa, Viwanja Karimjee, jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa, Viwanja Karimjee, jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (UN), Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Mataifa, Viwanja Karimjee, jijini Dar es Salaam leo.
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwapatia maelezo wanafunzi wa Shule za Sekondari za Tambaza Barbro Johansson, zote za mkoani Dar es Salaam, wakati walipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Taifa (UN), Viwanja vya Karimjee jijini leo.
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwapatia maelezo wanafunzi wa Shule za Sekondari za Tambaza Barbro Johansson, zote za mkoani Dar es Salaam, wakati walipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Taifa (UN), Viwanja vya Karimjee jijini leo.
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwapatia maelezo pamoja na vipeperushi wanafunzi wa Shule za Sekondari za Tambaza Barbro Johansson, zote za mkoani Dar es Salaam, wakati walipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 68 ya Umoja wa Taifa (UN), Viwanja vya Karimjee jijini leo.

No comments:

Post a Comment