TANGAZO

Wednesday, October 23, 2013

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga yaikung'uta Rhino Rangers mabao 2-0

Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu hiyo na Rhino Rangers ya Tabora, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Haruna Niyonzima wa Yanga, akijaribu kumtoka Hussein Abdallah wa Rhino Rangers, wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Frank Domayo wa Yanga akimtoka Julius Masonga wa Rhino Ranger, wakati wa mchezo huo.
 Mrisho Ngassa wa Yanga na Hussein Abdallah wa Rhino Rangers wakikimbilia mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa wa Yanga na Julius Masonga wa Rhino Rangers wakikimbilia mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa wa Yanga akijaribu kumpiga chenga Hussein Abdallah wa Rhino Rangers, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Frank Domayo (kushoto), akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake ya Yanga pamoja na wenzake, Mrisho Ngassa (katikati) na Haruna Niyonzima katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, kati ya timu hiyo na Rhino Rangers, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Yanga ilishinda mabao 2-0.

Mrisho Ngassa wa Yanga, akimtoka Hussein Abdallah wa Rhino Rangers wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa wa Yanga akimtoka Hussein Abdallah wa Rhino Rangers, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa wa Yanga akijaribu kumpiga chenga Hussein Abdallah wa Rhino Rangers, wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Kocha wa Yanga, Ernest Brandts, akipongezana na wenzake wa benchi la ufundi, mara baada ya mchezaji Frank Domayo kuifungia timu yake hiyo bao la pili katika mchezo huo, wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Rhino Rangers.

No comments:

Post a Comment