Eneo kubwa kabisa Afrika, kusini ya Sahara, kutengwa kwa ajili
tu ya mitambo ya kuzalisha umeme kutokana na upepo, limefunguliwa rasmi nchini
Ethiopia.
Serikali ya Ethiopia ililipa 9% ya gharama.
Mradi huo wa kuzalisha umeme kutoka nguvu za upepo utaisaidia Ethiopia siku za ukame ambapo mabwawa hayataweza kutoa nishati nyingi.
No comments:
Post a Comment