Waumini wa Dini ya Kiislamu wa dhehebu la Sunna, wakipata mawaidha wakati wa Swalla ya Idd el Fitri, Viwanja vya Kidongo Chekundu, Dar es Salaam jana.
Sheikh Hamis, akitoa hotuba yake ya Siku Kuu ya Idd Mubaraka, mara baada ya Swalla ya Ijumaa
Waumini wakiwa katika mkao wa kuondoka kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu walikopata Swalla yao ya Idd el Fitri kabla ya kurudi majumbani mwao.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Dhehebu la Sunni, wakipata chakula katika mara baada ya Swalla ya Idd el Fitri leo kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu walikopata Swala yao ya Idd el Fitri kabla ya kurudi majumbani mwao.
Waumini wa kike wakisikiliza mawaudha mara baada ya Swala ya Idd el Fitri waliyoswali leo katika Viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo.
Waumini wa kike wakisikiliza mawaudha mara baada ya Swala ya Idd el Fitri waliyoswali leo katika Viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo.
Umati wa waumini wa Dini ya Kiislamu wa Dhehebu la Sunni, wakiwa katika Viwanja vya Kidongochekundu wakisikiliza mawaidha mara baada ya kuswali swala ya Idd el Fitri leo.
Waumini wakisalimiana na kutakiana kheri ya Idd el Fitri mara baada ya kumalizika hutba ya Swala ya Idd leo, waliyoswali katika Viwanja hivyo.
Waumini wakiondoka kwenye Viwanja vya Kidongo chekundu mara baada ya kuswali na kusikiliza hutoba baada ya swala ya Idd el Fitri leo.
No comments:
Post a Comment