Kikosi cha Simba
kilichoibwaga Sports Club Villa ya Uganda mabao 4-1 wamakti wamechi ya kirafiki
ya Tamasha la Simba Day, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana jioni.
Kikosi cha Sports Club Villa ya Uganda iliyopigwa na Simba mabao 4-1
Mchezaji wa Simba, Ramadhan Chombo 'Lidondo' (kushoto), akitafuta mbinu za kuwapita wachezaji wa Sports Club Villa ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Simba, Nassoro Masoud 'Cholo' (kushoto) akipigwa chenga na Kalyowa Emma wa Sports Club Villa ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya Simba Day kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Wapenzi wa Simba wakishangilia bao la pili dhidi ya Sports Club Villa ya Uganda katika mechi ya kirafiki ya Simba Day kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

No comments:
Post a Comment