| Bondia Kassim Rajab akipambana na Kelvin Fabian, wakati wa mpambana wake uliofanyika Sikukuu ya Idd el Fitri, ukumbi wa Darlive, jijini Dar es Salaam. Fabian alishinda kwa pointi. |
| Bondia Godfrey Pancho kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Hamisi Mohamedi wakati wa mpambano wao uliofanyika sikukuu ya Iddi mosi katika ukumbi wa Dar Live Mbagala. |
| Bondia Godfrey Pancho kulia akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Hamisi Mohamedi wakati wa mpambano wao uliofanyika sikukuu ya Iddi mosi katika ukumbi wa Dar Live Mbagala. |
| Bondia Chipaki Chipindi akiwa na mashabiki wake baada ya kumkarisha raundi ya kwanza bondia Ramadhani Kido |
| Miyeyusho akishangilia ushindi |
| Miyeyusho akiwa katika pozi. |

No comments:
Post a Comment