Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu maalum za Sikukuu ya Iddi baada ya Swala iliyofanyika Kitaifa Mkoani Tabora katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi leo, Agosti 9, 2013. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Sala ya Iddi iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo Agosti 9, 2013. Baadhi ya waumini wanawake wa Dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Sala ya Sikukuu ya Iddi el Fitri, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Baadhi ya waumini wanawake wa Dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Sala ya Sikukuu ya Iddi el Fitri, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya waumini wa Kiislamu katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya waumini wa Kiislamu katika hafla hiyo. Waumini wanawake, wakiwa kwenye uwanja huo, mara baada ya Swala ya Iddi el Fitri, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
Umati wa waumini wa Dini ya Kiislamu ukiwa katika hafla ya Iddi el Fitri. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoppani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Sala ya Iddi iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo Agosti 9, 2013. Baadhi ya waumini wanawake wa Dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Sala ya Sikukuu ya Iddi el Fitri, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Sheikh wa Mkoa wa Tabora, akiswalisha Swala ya Iddi el Fitri Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi leo. |
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya waumini wa Kiislamu katika hafla hiyo. Waumini wanawake, wakiwa kwenye uwanja huo, mara baada ya Swala ya Iddi el Fitri, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
Umati wa waumini wa Dini ya Kiislamu ukiwa katika hafla ya Iddi el Fitri. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoppani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Umati wa waumini wa Dini ya Kiislamu ukiwa katika hafla ya Iddi el Fitri. |
No comments:
Post a Comment