TANGAZO


Wednesday, July 24, 2013

Rais Jakaya Kikwete, asalimiana na timu ya Taifa Uwanja wa ndege, Mwanza afungua jengo la Ushirka la Kagera Coperative Union leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ili kuzindua upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ili kuzindua upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo, Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati alipofungua jengo la Kagera Coperative Union leo, Julai 24, 2013 mjini Bukoba. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati alipofungua jengo la Kagera Coperative Union leo, Julai 24, 2013 mjini Bukoba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kagera pamoja na wanaushirika wa Coperative Union leo, Julai 24, 2013 mjini Bukoba, mara baada ya kuzindua jingo la ushirika huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013 mjini Bukoba, mara baada ya kuzindua jingo la ushirika huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi mara baada ya kufungua jengo la Kagera Coperative Union leo, Julai 24, 2013, mjini Bukoba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars aliokutana nao, Uwanja wa ndege wa Mwanza leo, Julai 24, 2013, wakati yeye akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa wakielekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya CHAN.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars aliokutana nao, Uwanja wa ndege wa Mwanza leo, Julai 24, 2013, wakati yeye akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa wakielekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya CHAN. (Picha zote na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment