TANGAZO

Thursday, July 25, 2013

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal afuturu na wakazi wa Kagera Wilaya ya Misenyi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera, baada ya kufuturu nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika Kiwanda cha Kagera Sugar, jana Julai 24, 2013. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Kanali Mstaafu, Issa Njiku (kushoto) ni Mmiliki wa Kiwanda cha Kagera Sugar, Nassor Seif. (Picha zote na OMR)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kagera Sugar, Hashim Ranner, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari 
ya pamoja na wananchi wa Mkoa wa kagera iliyofanyika katika Kiwanda cha Kagera Sugar Wilaya ya Misenyi jana Julai, 24, 2013. Katikati ni mmiliki wa kiwanda hicho, Nassor Seif.
Baadhi ya wananchi waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria hafla ya futari ya pamoja, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal, wakati akizungumza nao jana Julai, 24, 2013. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi alioshiriki nao Futari ya pamoja katika Kiwanda cha Kagera Sugar Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo jana Julai 24, 2013.

No comments:

Post a Comment