TANGAZO


Tuesday, June 18, 2013

Washiriki wa Shindano la Miss Tanga watembelea mapango ya Amboni

Washiriki wa Shindano la Miss Tanga wakiwa wamepozi kwa picha ndani ya moja ya mapango ya Amboni, wakati walipotembelea kwenye mapango hayo ya kitalii, mkoani Tanga leo. Shindano la Miss Tanga litafanyika Juni 22, Mjini humo.

Hapa walimbwende hao, wakiwa wamepozi kwa ajili ya kupata picha nzuri ya kumbukumbu ndani ya mapango hayo.

Hapa wakimwaga tabasamu la nguvu wakati wa kuchukuliwa picha mbalimbali ndani ya mapango hayo.

Hapa wakiwa wameponzi kwa staili ya aina yake kwa ajili ya picha tofauti tofauti za kumbukumbu mapangoni humo leo.
Hapa walimbende hao wakitembea ndani ya mapango hayo kuangalia sehemu mbalimbali za mapango.
Hapa walimbwende wa kinyang'anyiro hicho, wakiendelea kutembelea sehemu mbalimbali ndani ya mapango ya Amboni, mkoani Tanga.
Hapa wakitoka ndani ya moja ya mapango hayo na kisha kuendelea kutembelea mengine
Walimbende hao, wakipita katika moja ya sehemu za mwamba wa mapango hayo.
Hapa wakipata picha ya kumbukumbu kwenye pango na wakiwa wameweka pozi la nguvu la kilimbwende.
Wakipata picha kwenye moja ya mabango yanayotoa tahadhari kwa watembeleaji wa mapango hayo.
Hapa wakipatiwa maelezo na mmoja wa watunzaji na mfanyakazi kwenye mapango hayo.
 Hapa warembo wakishuka chini zaidi kwenye mapango hayo ya Amboni.
Hapa wakipata picha nyingine ya kumbukumbu kwenye sehemu ya kupumzikia baada ya mzunguko mrefu ndani ya mapango hayo.
Wakipiga picha nyingine ya kumbukumbu mbele ya mwamba wa pango ndani ya mapango hayo ya Amboni.
Wakipiga picha nyingine za kumbukumbu mbele ya mwamba wa mapango hayo.
Hapa walimbwende hao, wakiwa wameweka pozi la nguvu kwa ajili ya kupiga picha nyingine mbalimbali za kumbukumbu mbele ya mwamba wa mapango hayo. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment