Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini. Madaktari hao, walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbalimbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Madakatari wa Kichina waliofika Ikulu, mjini Zanzibar leo, kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini, ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbalimbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.
No comments:
Post a Comment