TANGAZO


Thursday, June 13, 2013

Rais Kikwete apokea Ujumbe maalum kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), mjini Dodoma

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Donald Kaberuka, ulioletwa kwake na Mwakilishi Mkazi wa benki hiyo nchini, Tonia Kandiero leo, Juni 13, 2013, Ikulu ndogo, mjini Dodoma.


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na  Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini, Tonia Kandiero leo, Juni 13, 2013, Ikulu ndogo, mjini Dodoma baada ya kupkea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa benki ya hiyo, Dk. Donald Kaberuka. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment