TANGAZO

Sunday, June 16, 2013

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, mkaoni Dar es Salaam

Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi, akichorwa picha kwenye paji lake la uso wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari, akichorwa picha kwenye paji lake la uso wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam leo.

Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi, jijini Dar es Salaam wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo, Kawe jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam, wakipita kwa maandamano na bango lenye ujumbe wa kukataza mila potofu za ukeketaji, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini leo. Maadhimisho hayo nchini huadhimishwa Kimikoa nchini kote. 

Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi, jijini Dar es Salaam wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo, Kawe jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi, jijini Dar es Salaam wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo, Kawe jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi, jijini Dar es Salaam wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo, Kawe jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (wa pili kushoto), ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, akiyapokea maandamano hayo ya maadhimisho ya siku hiyo leo, Kawe jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (wa pili kushoto), ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, akiyapokea maandamano hayo. 
 Watoto wakipita mbele ya mgeni rasmi.
 Matarumbeta yakiongoza maandamano ya wanafunzi pamoja na wananchi mbalimbali.
 Wanafunzi wakipita huku wakipunga mikono mbele ya mgeni rasmi.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtoni Mtongani wakitumbuiza kwa kwaya ya muziki wa mapipa.

Wanafunzi wakiimba wimbo wa Taifa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika jijini Dar es Salaam leo.

 Mama wa Kidenish, akionesha upendo kwa mtoto wa Afrika katika maadhimisho hayo leo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lumumba jijini Dar es Salaam wakicheza ngoma ya Uringe ya wenyeji wa Pemba katika maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment