Hapa wamamaa, Judith Muya (kushoto) na Zainab Mabogga, wakiweka chupa tupu za maji kwenye boksi maalum la kuhifadhia chupa Hotelini Southern Sun, ambazo baadaye hupelekwa kiwandani na kutengenezwa upya kwa ajili ya kutumika tena. (Picha zote na Kassim Mbarouk wa bayana.blogspot.com)
Judith Muya (kushoto) na Zainab Mabogga, wakiweka chupa tupu za maji kwenye boksi maalum la kuhifadhia chupa ambazo baadaye hupelekwa kiwandani na kutengenezwa upya kwa ajili ya kutumika tena.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifanya usafi wa mazingira kwenye fukwe za bahari, maeneo ya Aga Khan na Sea View, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifanya usafi wa mazingira kwenye fukwe hizo za bahari, maeneo ya Aga Khan na Sea View, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakiwa kazini kufanya usafi wa mazingira kwenye fukwe hizo za bahari, maeneo ya Aga Khan na Sea View, Dar es Salaam leo.
Usafi wa mazingira kwanza. Hapa wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakizoa taka na wengine kuzikusanya baada ya kuzisafisha kwenye fukwe hizo za bahari, maeneo ya Aga Khan na Sea View, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa katika picha ya pamoja na zana zao za kazi nje ya hoteli hiyo, mara baada ya kurejea kufanya usafi wa mazingira kwenye fukwe za bahari, maeneo ya Seaview, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifurahi. Hapa wakiwa na zana zao za kufanyia usafi, mara baada ya kurejea hotelini hapo, baada ya usafi kwenye fukwe za bahari, jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa katika picha ya pamoja na zana zao za kazi nje ya hoteli hiyo, mara baada ya kurejea kufanya usafi wa mazingira kwenye fukwe za bahari, maeneo ya Aga Khan na Seaview, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun, wakiwa katika picha ya pamoja na zana zao za kazi nje ya hoteli hiyo, mara baada ya kurejea kufanya usafi wa mazingira kwenye fukwe za bahari, maeneo ya Aga Khan na Seaview, Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifurahi nje ya hoteli hiyo leo mara baada ya kufanya usafi kwenye fukwe za bahari, jijini Dar es Salaam leo
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakipozi nje ya hoteli hiyo, kwa picha mara baada ya kufanya usafi kwenye fukwe za bahari, jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifurahi wakati walipokuwa wakipiga picha za kumbukumbu mara baada ya kufanya usafi kwenye fukwe za bahari, jijini Dar es Salaam leo.
Hapa, wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun wakifurahia jambo wakati walipokuwa wakipiga picha mbalimbali za kumbukumbu mara baada ya kufanya usafi kwenye fukwe za bahari, jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment