Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili Ofisi ya CCM
Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipoanza ziara ya kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa huo leo.
akiwapungia mkono viongozi mbalimbali na wanachama wa
Chama hicho, alipowasili Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini
Unguja, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa
Kasakazini leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali
Vuai, Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika ziara
ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kasakazini, Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la maskani ya Dk. Salmin
Amour Juma, huko Moga, Vibanda kumi na mbili, akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa CCM katika
maskani ya Dk. Salmin Amour Juma, huko Moga Vibanda kumi na
mbili, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa
Kasakazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la Tawi la CCM, Kijini Jimbo
la CCM Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.
Nadhari, akisoma risala wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi
lililowekwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa
wa Kasakazini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na wananchi, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
wa Kijiji cha Kijini, Jimbo la Matemwe, ambapo aliwafafanulia jinsi
Katiba ya Chama inavyolekeza, akiwa katika ziara ya kuimarisha
Chama Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.
No comments:
Post a Comment