Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na Coastal Union ya Tanga, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, jijini jana.
Mashabiki wa Yanga, waliojazana kwenye majukwaa yao, wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na Coastal Union ya Tanga, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.
Seleman Kassim wa Coastal Union ya Tanga, akipambana na Kelvin Yondani wa Yanga katika mchezo huo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Kelvin Yondani wa Yanga, akimkwatua Joseph Mahundi wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo huo,
Oscar Joshua wa Yanga, akiudhibiti mpira mbele ya Hamad Khamis wa Coastal Union ya Tanga.
Kelvin Yondani wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akizongwa na Hamad Hamis wa Coastal Union ya Tanga.
Kelvin Yondani wa Yanga, akipambana na Hamad Hamis wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo huo.
Daniel Lyanga wa Coastal Union ya Tanga, akiwatoka Nizar Khalfan (katikati) na Mbuyu Twite wa Yanga katika mchezo huo.
Haruna Niyonzima wa Yanga Joseph Mahundi wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo huo.
Mchezaji George Banda wa Yanga, akipiga mpira kwa kisigino mbele ya Philip Mugenzi wa Costal Union, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.
No comments:
Post a Comment