Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, William Mpinga (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati kampuni hiyo kupitia huduma yake ya Tigo Pesa, walipozindua ushirikiano na Kampuni ya ndege ya Fastjet, ambapo mteja ataweza kulipia tiketi ya safari ya ndege za kampuni hiyo, kupitia huduma hiyo. Kulia ni Meneja Mkuu wa Fastjet nchini, Tim Lee-Foster.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, William Mpinga, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo, Dar es Salaam leo.
Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, William Mpinga (kushoto), wakikabidhiana mkataba wa biashara na Meneja Mkuu wa Fastjet nchini, Tim Lee-Foster, mara baada ya kuzindua ushirikiano huo jijini leo.
Baadhi ya Viongozi hao, wakiwa na baadhi ya Maofisa waandamizi wa Kampuni hizo, mara baada ya uzinduzi huo, jijini leo.
No comments:
Post a Comment