TANGAZO


Thursday, May 30, 2013

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana awasili wilayani Makete

1

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahaman Kinana, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Bi. Josephine Matiro mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya za Njombe na Makete  na ujumbe wake tayari kwa kuanza ziara katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo leo asubuhi. (Picha zote kwa Hisani ya Fullshangwe.blog)

1A 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Bi. Josephine Matiro kuingia kwenye chumba cha mkutano tayari kwa kupokea taarifa ya utekelezaji Ilani ya Chama hicho.

2
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Maofisa mbalimbali wa Chama na Serikali mara baada ya kuwasili wilayani Makete leo asubuhi.



No comments:

Post a Comment