Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria ambaye pia ni Balozi wa Heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua rasmi jengo la Sayansi katika Kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo, Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria ambaye pia ni Balozi wa Heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa wakizungumza jambo, wakati walipozindua rasmi jengo la Sayansi katika Kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo, Mei 13, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria ambaye pia ni Balozi wa Heshima wa IITA, Chief Olesegun Obasanjo wakisiliza maelezo ya tafiti mbalimbali za mihogo baada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa akiwa na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mhe. Tonia Kandiero wakati wa uzinduzi rasmi rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
No comments:
Post a Comment