Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina aliyewasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)
Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina mara baada ya kuawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam na mgeni wake Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina mara baada ya kuwasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo Mei 3, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment