Wazee
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na viongozi wa
wakimsikiliza
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein katika mkutano wa
majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, mkutano
ulifanyika leo, ukumbi wa Ofisi ya Jimbo la Kinduni. (Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu)
Wazee
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na viongozi, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein katika mkutano wa
majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, mkutano
ulifanyika leo, ukumbi wa Ofisi ya Jimbo la Kinduni.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika
Mkoa wa Kaskazini Unguja, mkutano ulifanyika leo, ukumbi wa Ofisi
ya Jimbo la Kinduni. Kushoto ni Makamo wa Pili wa Rais, Balozi Seif
Ali
Iddi, Mbunge wa Jimbo la Kitope na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini, Haji Juma Haji.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza
na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa majumuisho ya ziara
aliyoifanya katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, mkutano ulifanyika leo, ukumbi wa Ofisi ya Jimbo la Kinduni.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake, aliyoifanya Mkoa wa Kaskazini Unguja, mkutano ulifanyika leo, ukumbi wa Ofisi ya Jimbo la Kinduni.
No comments:
Post a Comment