TANGAZO


Monday, May 27, 2013

Rais Kikwete akutana na viongozi mbalimbali Addis Ababa, Ethiopia

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri, Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha zote na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika Mkutano wa kawaida wa 21 wa Umoja wa Afrika katika Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), Professor Ntumba Luaba na ujumbe wake, walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.


 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamaica, Portia Simpson Miller, walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamaica, Portia Simpson Miller walipokutana pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimsindikiza Waziri Mkuu wa Jamaica, Portia Simpson Miller, walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri Mkuu wa  Jamaica, Portia Simpson Miller kwa Gideon Moi, Seneta wa Kaunti ya Baringo nchini Kenya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha KANU cha nchi hiyo, walipokutana pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU),  jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya kimataifa inayoshughulikia mapambano dhidi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria ya 'The Global Fund', Dk. Mark Dybil  na Ofisa wa taasisi hiyo, Shu-shu Tekle-Haimanot, walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) professor Ntumba Luaba na ujumbe wake, walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha kwa mazungumzo  Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Michel Sidibe walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya  mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika  mazungumzo  Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Michel Sidibe na ujumbe wake, walipokutana pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Michel Sidibe pamoja na Mratibu wa Masuala ya Ukimwi wa Marekani, Balozi Eric Goosby walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Makao Makuu ya Umoja huo, jijini Addis Ababa, Ethiopia.

No comments:

Post a Comment