TANGAZO


Sunday, May 26, 2013

Rais Kikwete akutana na Marais wastaafu, ahudhuria kikao cha amani cha DRC


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na Marais wastaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu mstaafu, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya AU, alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia leo, Mei 26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe hizo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na waandishi wa habari, alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Mei 26, 2013. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika   Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa Makuu katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika leo, Mei 26, 2016.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika   Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa Makuu, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika leo, Mei 26, 2016.

No comments:

Post a Comment