TANGAZO


Saturday, May 11, 2013

Rais Jakaya Kikwete arejea nchini akitokea Afrika Kusini alikuhudhuria mkutano wa SADC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymon Moshimara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC. (Picha zote na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali (kulia), mara baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC. 


No comments:

Post a Comment