TANGAZO


Friday, May 17, 2013

Mkataba wa kuwafanya Watanzania kuwa na uhakika wa kuishi na kufanya shughuli zao kwa amani nchini Canada na Wacanada nchini wasainiwa jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kuisaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada,  John Baird. (Picha zote na Kassim Mbarouk wa bayana.blogspot)

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, John Baird (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kuisaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.  
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kulia) na wa Canada, John Baird, wakisaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kulia) na wa Canada, John Baird, wakisaini mkataba huo, wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kulia) na wa Canada, John Baird, wakibadilishana hati za mkataba wa maelewano ya ulinzi wa raia wa nchi hizo, mali zao pamoja na mazingira ya kazi kwa watu wa nchi hizo mbili, mara baada ya kuusaini, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kulia) na wa Canada, John Baird, wakibadilishana hati za mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, mara baada ya kuusaini wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kushoto) na wa Canada, John Baird, wakibadilishana mawazo mara baada ya kuusaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (kushoto) na wa Canada, John Baird (katikati), wakibadilishana mawazo na Mbunge wa nchi hiyo, aliyefuatana naye, Deepak Obhrai, mara baada ya kuusaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao, wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe (katikati) na wa Canada, John Baird (kushoto), wakipiga picha ya kumbukumbu na Mbunge wa nchi hiyo, aliyefuatana naye, Deepak Obhrai (kulia), mara baada ya kusaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao, wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment