TANGAZO


Friday, May 10, 2013

Mazishi ya waliolipuliwa kwa bomu kanisani, jijini Arusha


Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi,
akiweka shada la maua kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyeondoka kabla ya zoezi hilo kufanyika, katika ibada ya mazishi  ya waumini waliokufa baada ya kulipuliwa na bomu katika Kanisa la Katoliki, Arusha. (Picha zote na Seif Mangwangi)

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa moja ya miili hiyo.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe akiweka shada la maua katika moja ya makaburi hayo.

Baadhi ya majeneza yenye miili ya marehemu, yakiwa kanisani tayari kuombewa.

No comments:

Post a Comment